OPEN UNIVERSITY: Selected student to join Bachelor Degree 2016/2017-Batch 1,SOMA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU HURIA (OPEN UNIVERSITY) SHAHADA(DEGREE) YA KWANZA 2016/2017

0 comments

OPEN UNIVERSITY: Selected student to join Bachelor Degree  2016/2017-Batch 1

  Click Here==>>>VIEW NAMES

Continue »

MPYA:SOMA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) SHAHADA(DEGREE) YA KWANZA 2016/2017

0 comments

UDOM: Selected student to join Bachelor Degree  2016/2017-Batch 1

  Click Here==>>>VIEW NAMES

Continue »

SAUT: Majina ya wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na chuo kwa mwaka 2016/2017- (Shahada-Degree)

0 comments
Greetings from St Augustine University of Tanzania.

Congratulations! You have been admitted to join St Augustine University of Tanzania for 2016/2017 Academic year

Continue »

VIDEO SAIDA KAROLI AKIZUMGUMZIA DIAMOND PLATNUMZ KUTUMIA WIMBO WAKE WA MARIA SALOME

0 comments
VIDEO SAIDA KAROLI AKIZUMGUMZIA DIAMOND PLATNUMZ KUTUMIA WIMBO WAKE WA MARIA SALOME

Baada ya Msanii DIAMOND PLATNUMZ kurudia wimbo wa Maria Salome uliombwa na Msanii Saida Karoli wadau wamehoji je Saida Karoli atanufaika vipi? Je kuna makubaliano baina yao?.Ebu chukua dakika chache kumsikiliza Saida karoli katika video iliyoko Hapa==>> https://goo.gl/IxFkrn
au Bonyeza Hapa

Continue »

PICHA NA VIDEO -MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS SAMIAH SULUHU HASSAN WAPATA AJALI KIJIJI CHA NANGURUWE MTWARA

0 comments
Msafara wa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzani Samia suluhu hassani ambao ulikuwa unaelekea wilayani tandahimba ukitokea ikulu ndogo ya rais mtwara umepata ajali na kusababisha majeruhi ambao wamekimbizwa hospitali ya rufaa ligula.

Ajali imetokea mbele kidogo ya kijiji cha nanguruwe kilichopo halmashauri ya wilaya ya mtwara

Majeruhi walioumia ni dereva pamoja na wasaidizi wanne wa makamu rais.


Awali kabla ya gari hilo lililobeba wasaidizi wa rais kuacha njia na kupinduka, gari liliokuwa limebeba waandishi wa habari wa channel ten, startv na clouds tv liliacha njia na nusura kupinduka.

Barabara ya kutoka mtwara kuelekea tandahimba si ya kiwango cha kuridhisha na kuruhusu magari kwenda mwendokasi hali iliyosababisha magari hayo kuacha njia na moja kupinduka kabisa na kusababisha majeruhi.
PICHA NA VIDEO -MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS SAMIAH SULUHU HASSAN WAPATA AJALI KIJIJI CHA NANGURUWE MTWARA


Continue »